Yanga imeendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es
Salaam.
Mshambuliaji wake Amissi Tambwe alikuwa mmoja wa wachezaji
waliojiunga na mazoezi kwa ajili ya msimu mpya.
Yanga inajiandaa kucheza Kombe la Kagame na Kocha Mkuu, Hans van der
Pluijm amesema wameanza maandalizi mapema kwa kuwa wanataka kulitwaa.
|
0 COMMENTS:
Post a Comment