Juventus imeonyesha haijalala baada ya kumsajili mshambuliaji Mario
Mandzukic raia wa Croatia kutoka Atletico Madrid.
Juve iliyofika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, imemwaga pauni
milioni 13.6 kumnasa mshambuliaji huyo wa zamani wa Bayern Munich.
Mshambuliaji huyo mwenye miaka 29 pia alikuwa akiwaniwa na klabu
mbalimbali za Ulaya. Lakini Juve ikachangamka na kupata saini yake.
DAIL MAILY.
0 COMMENTS:
Post a Comment