BEKI WA SIMBA, JUUKO MURSHID RAIA WA UGANDA NI KATI YA WAGENI WALIOFANYA VIZURI MSIMU ULIOPITA. |
Pamoja
na TFF kuputisha wachezaji wanne, kila mchezaji sasa atalipiwa dola 2000 (zaidi
ya Sh milioni 4) kwa msimu.
Hilo
limepitishwa leo Zanzibar wakati wa kamati ya utendaji ya TFF ilipokutana
kujadili masuala kadhaa.
Moja
likiwa hilo ikiwa ni pamoja na kupitisha wachezaji saba kwa kila klabu.
Klabu
sasa zinaruhusiwa kusajili wachezaji hadi saba, awali ilikuwa wachezaji watano.
Kabla
ya hapo ilikuwa wachezaji 10 na TFF ikapunguza hadi watano kukiwa na ahadi ya
kupunguza hadi wachezaji watatu.
0 COMMENTS:
Post a Comment