BAADA YA KUKOMBA MAMILIONI YA FEDHA, YAANIZ ILE PAUNI MILIONI 180 KATIKA PAMBANO DHIDI YA MANNY PAQCUIAO, BONDIA FLOYD MAYWEATHER AMEENDELEA KUONYESHA JEURI YA FEDHA BAADA YA KUTUNDIKA PICHA AKIWA KATIKA NDEGE YAKE HUKU CHINI YA MIGUU YAKE KUKIONEKANA BEGI AMBALO LILIELEZWA KUWA NA 'MANOTI'. |
0 COMMENTS:
Post a Comment