June 27, 2015


 Mechi ya kirafiki kati ya Yanga na SC Villa ya Uganda imemalizika kwa sare ya 0-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.


Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva amekosa penalti waliyopata Yanga katika kipindi cha pili baada ya kupaisha bonge ya ‘mnazi’.
Acha hayo yote, burudani ilikuwa zaidi kwa Geofrey Mwasyuya na Deus Kaseke ambao walicheza vizuri katika mechi ya leo.

Uwezo waliouonyesha wawili hao kwa kushirikiana na Malimi Busungu, imeonyesha Yanga inaweza kuwa na kikosi bora zaidi hapo baadaye.

SC Villa walionekana wako fiti, lakini Yanga walishirikiana na kucheza kwa kuelewana zaidi.

PICHA NA SUFIAN MUHIDIN.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic