RAIS WA SIMBA, EVANS AVEVA AKIMKABIDHI MSHAMBULIAJI MPYA WA TIMU HIYO HAMISI KIIZA MKATABA WAKE WA MIAKA MIWILI, MARA TU BAADA YA KUSAINI. MARA YA MWISHO MGANDA HUYO ALIKIPIGA NCHINI WAKATI AKIITUMIKIA YANGA AMBAYO ILIMUACHA MWISHONI NA KUMSAJILI KPAH SHERMAN. |
0 COMMENTS:
Post a Comment