July 3, 2015



Mshambuliaji Radamel Falcao ametua Chelsea kwa mkopo wa muda mrefu.


Baada ya kufeli Manchester United iliyokuwa ikimtumia kwa mkopo kutoka Monaco FC, Falcao sasa amejiunga na Chelsea na inaonyesha itakuwa furaha kuu kwa Kocha Jose Mourinho aliyekuwa akimuwinda kwa udi na uvumba.

Mwishoni mwa msimu ujao, Chelsea itakuwa na nafasi kama itakuwa imeridhishwa na kiwango chake, basi itakuwa na nafasi ya kumsajili mshambuliaji huyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic