Wachezaji wapya wa Liverpool,
mshambuliaji Christian Benteke na kiungo Mbrazil, Firmino wameonyesha hawataki
utani.
Katika mazoezi ya
Liverpool, wachezaji hao na wenzao wamekuwa wakifanya kila kitu kwa juhudi.
Hali hiyo inaonyesha
wamepanga kuleta mabadiliko makubwa katika kikosi chao ambacho wao ni sura
mpya. Cheki mwenyewe
0 COMMENTS:
Post a Comment