MSHAMBULIAJI WA BARCELONA, LIONEL MESSI AMEUNGANA NA WENZAKE IKIWA NI WIKI KABLA YA ILIVYOTAKIWA. MESSI AMEFANYA HIVYO BAADA YA KUAMUA KUVUNJA LIKIZO YAKE NA KUUNGANA NA WENZAKE KWA AJILI YA MAANDALIZI YA MSIMU UJAO AKIWA NA KIKOSI CHAKE CHA BARCELONA. CHEKI MAPICHA WACHEZAJI WA BARCELONA PAMOJA NA MESSI WAKIFANYA VIPIMO. |
0 COMMENTS:
Post a Comment