July 16, 2015

KHAN (KUSHOTO) AKIWA NA MAHMOOD WAKIFURAHIA DIGRII ZAO...
 Chuo Kikuu cha Bolton nchini Uingereza kimempa digrii bondia Amir Khan kutokana na mchango wake katika michezo.


Pamoja na Khan ambaye ni raia wa Uingereza, chuo hicho pia kimetunuku digrii mchezaji kriketi maarufu nchini humo Sajid mahmood.

Wawili hao wametunukiwa kutokana na mchango wao katika michezo, utaratibu ambao umekuwa ukifanywa na vyuo mbalimbali.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic