GOR MAHIA WATUMA UJUMBE KWA AZAM; HAWAJAFUNGWA DAR ES SALAAM SHABIKI MAARUFU WA GOR MAHIA AKIWA AMJICHORA UJUMBE UNAOELEZA TIMU YAKE HAIJAFUNGWA HATA MECHI MOJA KATIKA MICHUANO YA KOMBE LA KAGAME LINALOENDELEA NA SASA IMEINGIA FAINALI DHIDI YA AZAM FC AMBAYO HAIJAPOTEZA PIA.
0 COMMENTS:
Post a Comment