JIKUMBUSHE AZAM FC ILIVYOTINGA FAINALI YA KOMBE LA KAGAME... AZAM FC LEO IMETINGA FAINALI YA KOMBE LA KAGAME KWA KUITWANGA KCCA YA UGANDA KWA BAO 1-0. HII NI MARA YA PILI AZAM KUIFUNGA TIMU HIYO KWA IDADI HIYO KATIKA MICHUANO YA MWAKA HUU, KUMBUKA ZILIKUWA KUNDI MOJA. CHEKI MAPICHAZ YA ACTION...
0 COMMENTS:
Post a Comment