July 25, 2015

MANCHESTER UNITED WAMEINGIA KWENYE KASHFA BAADA YA JEZI ZAO MPYA ZINAZOTENGENEZWA NA ADIDAS KUWEKWA SOKONI NCHINI MAREKANI WAKATI MKATABA WAO NA NIKE UMEBAKI WIKI MOJA.
KILICHOWASHANGAZA WENGI NI UAMUZI WA KUANZA KUUZA JEZI HIZO IKIWA NI WIKI KABLA HAZIJATAMBULISHWA, ZITATAMBULISHWA AGOSTI MOSI, MWAKA HUU.


KIKOSI CHA MANCHESTER UNITED KIPO NCHINI MAREKANI KATIKA ZIARA YA KUJIANDAA NA MSIMU MPYA. TAYARI IMECHEZA MECHI MBILI NA KUSHINDA NA MOJA ITACHEZA LEO DHIDI YA BARCELONA.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic