July 13, 2015

Robin van Persie sasa ni rasmi mchezaji wa Fenerbahce baada ya kumalizana na uongozi wa klabu hiyo.

Alienda mara ya kwanza nchini humo baada ya kurejea mara ya pili, safari hii akiongozana na familia yake.


Mashabiki waliendelea kuonyesha furaha yao kwa kufanikiwa kumnasa mshambuliaji huyo kwa kujitokeza kwa wingi kumpokea shujaa wao mpya mwenye umri wa miaka 31.

Timu hiyo ya Uturuki imetangaza kwamba imemalizana na van Persie ambaye sasa ametua rasmi kwao na kuiacha Manchester United.
 



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic