August 11, 2015

 Mashabiki wa timu ya New York Red Bulls ya Marekani wamewatwisha uzee viungo Andrea Pirlo na Frank Lampard wa  New York City Bulls.


Mashabiki  hao waliingia uwanjani na bango kubwa lenye mchoro unaoonyesha viungo hao raia wa Italia na England ni sawa na babu wakongwe.

Mechi hiyo ya Ligi Kuu Marekani maarufu kama MLS inawakutanisha watani na wapinzani wakubwa wa jiji la New York.

Pirlo ametua City akitokea Juventus huku Lampard amejiunga kutoka Man City.

Mechi hiyo ya wapinzani wakubwa wa jadi imekuwa na ushindani mkubwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic