August 6, 2015


Azam FC imemuongezea Serge Wawa mkataba wa mwaka mmoja.
Zoezi hilo limefanyika leo jijini Dar es Salaam baada ya wakala wa Wawa kuwasili nchini leo.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad Kawemba amethibitisha kuhusiana na hilo.

“Ni jukumu letu kufanya hivyo, lakini mwalimu pia alikuwa anamhitaji,” alisema Kawemba.


Wawa raia wa Ivory Coast alionyesha uwezo mkubwa  katika Ligi Kuu Bara na baadaye michuano ya Kagame ambayo Azam FC imeibuka bingwa bila ya kufungwa hata bao moja.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic