February 6, 2020

12 COMMENTS:

  1. Samahani wana simba haina haja yakuchukua nafasi kuanza kulalama kama wenzetu,nadhan kwa macho yetu tumejionea hivyo tunawaomba muonyeshe utofauti kwamba nyinyi ni watu mnaojielewa NYAMAZAENI KIMYAA TUONE WATATULETEA VAR YA GOLI LILIOKATALIWA??.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hapana ni vizuri wakati mwingine kujibu mapigo..Hilo goli ambalo mpira umevuka msitari...ikageuka kona ni kubebwa..na ndiyo maana ikawa kona ili waamuze wajikoshe.Lipuli wamedhurumiwa.Mwaka jana ulikuwa wimbo wa viporo ili timu iwe bingwa!ikawa Simba inacheza mechi 8 katika siku kumi..Wao mechi 7 viporo wanazicheza miezi..Sasa kama kweli viporo vinaleta ubingwa si wangekuwa kileleni..Na kucheza mechi moja kila baada ya wiki mbili ni kubebwa.Ukipata muda wa kutisha kujiandaa bila shaka utaingia haujachoka na utafanya vizuri..Iwe ni mtihani, kazi au soka

      Delete
  2. Hapana mm nataka kujua Kona ilipatikana vipi? Nikijibiwa nitajua lakufanya

    ReplyDelete
  3. kosa la referee kutoa kona yanga inawahusu nini hapo kama kusema lile ni goli itakua ni ujinga wa ajabu sana
    lile si goli na ili liwe goli ilibidi livuke line yote na mpira ulikua ubavuni wa mwamba wa goli ila kwa ushabiki wa bila kufikiri ndio mnasema goli . subirini kipyenga cha mwisho mpate kuelimishwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni goli halali.Kipa aliurudisha mpira huku mikono yake ikiwa nje ya mlingoti ikiwa ina maana nje ya mstari wa goli.VAR ya EPL ni goli.

      Delete
  4. kwa Yanga kosa likifanyika ni refaree kakosea na kawaida binadamu kukosea.Kwa Simba ni wamebebwa..hilo goli litajadiliwa..Kuna wanaoamini Lipuli wamedhurumiwa...mpira ule umevuka msitari...sasa kwa nini watoe kona kama sio kujikosha!mwosha kaoshwa leo..wanalalamika wenzao kubebwa kumbe nao wamebebwa..Sasa mbona goli la Prisoni dhidi ya Azam halikugeuka kona?

    ReplyDelete
  5. dhambi ya uzushi wa kubebwa inaanza watafuna sasa pole pole...kama ilivyokuwa viporo viporo!

    ReplyDelete
  6. Simba kubali msikubali saiz hamshindi kiuwalali kabsa

    ReplyDelete
  7. Nguvu ya kushinda imeisha kwa simba imeisha saiz mnaenda kwa kutumia choki maana mafuta mmeishiwa

    ReplyDelete
  8. Sawa sio goli tuseme hivyo. Sasa inakuwaje Kona Sasa? Hivo Kona inapatikana kipa akiwa amedaka mpira unaenda kimiani au unaotoka pembeni mwa goli?

    ReplyDelete
  9. Tukubali ukweli kwamba marefaa Kuna ujumbe wanaufikisha. Na nikosa kusema Simba inabebwa peke take,wakati makosa ya wazi Kila mechi yanaonekana.

    ReplyDelete
  10. Magoli yote waliyoyapata ya halali wanasema na ya Mnyama yote ya kubebwa. Zamani Hawa jamaa hawakuwa hivi na kwa hakika wanatia huruma. Wanahisi Hawana Lao jambo. Wanavunja mikataba na wachezaji wao waliowapata kwa zungusha bakuli kwakuwa Hawana viwango lakini baadae huko wanapokwenda wana kuwa mastaa wa kubwa mfano ni Balinya. Huu ni mwaka wa mkosi. Hata huyo Molinga a bate anaewasaidia hivi, Si walikuwa wameshamtimua na Ingekuwa si huyo kocha wao alieamuru arejeshwe ndio wangelizidi kufa maji. Kichuya alipoamuwa udhaifu akawacheka na haraka akageuza giya kurejea kwai

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic