August 16, 2015

Nani alikudanganya Athumani Iddi Chuji ni mpishi uwanjani tu ili aisaidie timu ishinde?


Hata anapokuwa nyumbani ni mpishi na muweka viungo na msosi akiupika, weee!

Mara nyingi Chuji amekuwa akijipikia mwenye katika kikosi cha MWadui FC kama picha inavyomuonyesha akikaangiza kuku.


Ila anaporejea jijini Dar es Salaam ambako familia yake imeweka makazi, anamuachia kazi hiyo mama mwenye nyumba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic