August 2, 2015

NAHODHA WA AZAM FC, JOHN BOCCO AKIWA AMEMUINUA MWALI WA KAGAME KWA KUSAIDIANA NA HIMID MAO. UTAONA RAIS WA CECAFA, LEODEGER TENGA ANA FURAHA KAMA ILIVYO KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU WA KENYA, RAILA ODINGA. PIA MKUU WA MKOA WA DAR, MECKY SADICK. PIA WAMEFURAHI. LAKINI KATIBU MKUU WA KENYA, NICHOLAS MUSONYE, MHH! HONGERA AZAM FC KWA UBINGWA NA KUILETEA TANZANIA HESHIMA NYINGINE YA UBINGWA HUKU MKIONYESHA SOKA SAFI.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic