August 15, 2015

\
Kocha Thomas Tuchel ameanza na mguu mzuri kwa B Borussia Dortmund baada ya kikosi chake kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Borussia Monchengladbach katika mechi ya Bundesliga.

Dortmund imekuwa na msimu mbaya uliopita hadi kusababisha kocha wake mwenye mafanikio zaidi Jurgen Kloop kuachia ngazi.
Lakini Shinji Kagawa na wenzake, wameonyesha wamerudi upya baada ya ushindi huo mnono.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic