August 15, 2015


Si ulisikia ile ishu ya yule dogo mwenye miaka mitano aliyelipiwa usafiri yeye na familia yake na klabu ya Fenerbahce ya Uturuki ili akamuone straika Robin van Persie ambaye alimwaga chozi baada ya kusikia amehama Man United?


Louis Diamond ni shabiki mkubwa wa Man United, lakini leo akiwa na wadogo zake amevaa jezi ya Fernabahce na kukutana na shujaa wake.

Ilikuwa furaha ya aina yake wakati alipojumuika live na van Persie ambaye alimliza kwa uchungu ile mbaya.
Diamond pia alipata nafasi ya kumuona van Persie akiitumikia Fenerbahce ambayo iliibuka na ushindi wa mabao  2-0 kati Ligi Kuu ya Uturuki dhidi ya Eskisehirspor.

Diamond sasa moyo mweupee na yu tayari kurejea Engaland sasa.
ALIPOWASILI AKIWA NA WAZAZI WAKE





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic