August 8, 2015

  
Manchester United imeanza Ligi Kuu England kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tottenham Hotspurs.


Shukurani kubwa, Man United inabidi wazitoe kwa beki Walker wa Spurs ambaye alijifunga wakati akipambana kumzuia Wayne Rooney asifunge baada ya krosi safi ya Memphis Depay.

Licha ya kuwa nyumbani, Old Trafford Man United ilizidiwa katika kipindi cha kwanza kabla ya kuzinduka mwishoni.

Kipindi cha pili, mwanzoni ikapambana vilivyo kabla ya kuzidiwa tena katika kipindi cha pili mwishoni.


VIKOSI VILIVYOKUWA:

Manchester  United iUnited (4-3-3): Romero; Darmian, Smalling, Blind, Shaw; Carrick, Memphis, Schneiderlin; Mata, Rooney, Young.
Subs: Johnstone, Valencia, McNair, Schweinsteiger, Herrera, Pereira, Hernandez.
Tottenham (4-2-3-1): Vorm; Walker, Alderweireld, Vertonghen, Davies; Bentaleb, Dier; Chadli, Eriksen, Dembele; Kane.
Subs: Lloris, Trippier, Wimmer, Alli, Carroll, Lamela, Mason.











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic