August 18, 2015


 Kikosi cha Louis van Gaal cha Manchester United kimetua kwenye hoteli ya nyota tano ya Lowry Hotel tayari kwa mechi ya kwanza ya play-off ya Champions League.

Mechi hiyo inapigwa usiku kwenye Uwanja wa Old Trafford jijini Manchester.

Man United inatakiwa kufanya vizuri katika mechi hizo mbili za  ugenini na nyumbani ili iingie kupata nafasi ya kucheza makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Mechi ya pili ambayo itakuwa ugenini, Manchester United itakutana na wenyeji wake Agosti 26 kwenye dimba la Jan Breydel.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic