August 18, 2015


Bosi wa Manchester United, Ed Woodward ametua jijini Barcelona kumalizana na FC Barcelona kutumia dau la pauni milioni 22.


Jana Pedro aliichezea Barcelona katika mechi ya pili ya Athletico Bilbao iliyomalizika kwa sare ya mabao 1-1.


Taarifa zinaeleza kwamba Pedro amekubali kujiunga na Manchester United kwa kuwa anaonekana hana furaha na Kocha Louis Enrique.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic