August 30, 2015


Bondia mkongwe nchini, Thomas Mashali  amefanikiwa kumtwanga bondia chipukizi Ibrahim Tamba kwa pointi katika pambano lisilo la kuwnaia ubingwa kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa, jana.


Pambano hilo la raundi 10 lilikuwa si mchezo, huku mabondia wote wawili wakitwanga vilivyo na kupasuana uso.

Kila mmoja alimpasua mwenzake na kusababisha mwamuzi wa mchezo huo kulowa damu katika shati lake la rangi nyeupe.

Ilikuwa ni vigumu kutabiri nani ameibuka mshindi kwa kuwa ilikuwa ni piga nikupige kuanzia mwazo.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic