August 15, 2015

AYEW AKIPAA HEWANI KUFUNGA BAO
Andre Ayew na Gomis, kwa mara nyingine kila mmoja amefunga bao na kuiwezesha Swansea kushinda mabao 2-0 dhidi ya Newcastle waliokuwa pungufu baada ya beki wake Janmaat kulambwa kadi nyekundu.


Ayew ambaye ni mtoto wa gwiji la soka Afrika, Abeid Pele kutoka Ghana anafunga bao katika mechi yake ya pili katika Ligi Kuu England.

 
Swansea (4-2-3-1): Fabianski 6; Naughton 7, Fernandez 6.5, Williams 7, Taylor 6.5; Cork 6.5, Shelvey 7.5; Ayew 7.5 (Dyer 71, 6), Sigurdsson 6.5, Montero 8 (Routledge 76); Gomis 7.
Subs not used: Nordfeldt, Eder, Rangel, Bartley
Booked: Ayew, Naughton   
Scorers: Gomis 9, Ayew 52
Newcastle (4-2-3-1): Krul 6; Janmaat 3.5, Mbemba 5, Coloccini 5.5, Haidara 5; Anita 5.5, Colback 6; Sissoko 6.5 (Taylor 46, 5.5), Wijnaldum 5.5, Obertan 6 (Mitrovic 83); Cisse 5 (Aarons 54, 6).
Subs not used: Williamson, Perez, Tiote, Darlow 
Booked: Janmaat, Mitrovic 
Sent off: Janmaat  
Referee: Mike Jones 
Attendance: 20,678
Man of the Match: Jefferson Montero 









AAAHHH! NGUMU KUMESA...



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic