August 21, 2015

 Soka soma asee! Borussia Dortmund nusura waonekane ni vibonde tena msimu huu.


Maana ndani ya dakika 22 walikuwa wameishapigwa 3-0 na Odds Ballklubb kutoka Norway. Hii ni mechi ya michuano ya Kombe la Europa.

Waliokuwa uwanjani, waliokuwa wanatazamana mechi hiyo cjana kwenye runinga, wakaamini wakongwe hao wanakula 1-0.



Soka lina mambo yake, hauwezi kuamini mambo yalibadilika na Dortmund kusawazisha zote na kuongeza moja, mwisho wakaibuka na ushinda wa mabao 4-3.

Marco Reus, Jakub Blaszczykowski naLukasz Piszczek ndiyo waliibuka mashujaa kwa kupiga mabao hayo manne na kuikoa Dortmund kwenye Europa League.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic