August 8, 2015

JB WA BONGO MOVIE, AKIMILIKI MPIRA DHIDI YA YUSUF MACHO 'MUSSO' WA VIONGOZI WA SIMBA HUKU IBRA MASOUD 'MAESTRO' AKIWA TAYARI KUTOA MSAADA.
Timu ya viongozi wa Simba, imetoa burudani ya aina yake leo kwenye Uwanja wa Taifa licha ya ushindi mfinyu wa bao 1-0 dhidi ya wasanii wa Bongo Movie na Bongo Fleva.



Viongozi mbalimbali wa Simba walionyesha umahiri wao wa soka licha ya kuwa na miili mikubwa kwa kuwachapa wasanii bao 1-0 lililofungwa na kocha Dylan Kerr.

Mechi hiyo maalum ya Simba Day ndiyo ilifuatia ile ya Simba Queen iliyooichapa 3-0 Sayari ambayo timu kongwe katika anga la soka la wanawake nchini.


Baada ya hapo, ikafuatia ile mechi iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kati ya wenyeji Simba dhidi ya wageni kutoka Uganda, Sports Club Villa maarufu kama Jogoo.
SIMBA

BONGO MOVIE

STRAIKA HATARI WA VIONGOZI WA SIMBA, MUSLEY AL RAWAH 'RONALDO'

TULLY AKIONYESHA YAKE...

KOCHA NAYE BADO WAMO...

HATARI LANGONI MWA BONGO MOVIE, CHEKI BUDIE AKIOKOA. 

TULI, NKWABI NA KERR WAKISHANGILIA BAO... 



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic