September 7, 2015

Washambuliaji wa Taifa Stars, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wamerejea nchini DR Congo kwa ajili aya kuendelea na kazi katika klabu ya TP Mazembe.

Samatta na Ulimwengu walifanya vizuri kazi yao katika mechi Taifa Stars ilipopambana na Nigeria kuwania kucheza Afcon, juzi.


Licha ya kwamba mechi ilikuwa ngumu, lakini Ulimwengu na Samatta waliwapa kazi pevu Wanigeria ambao watawasimulia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic