Mabao mawili ya Salim Mbonde na Said Bahanuzi yameiwezesha Mtibwa Sugar kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.
Mtibwa Sugar imeshinda dhidi ya wageni wake Ndanda FC iliyosafiri hadi Manungu, Turiani.
Bao pekee la wageni Ndanda limefungwa na kiungo wa zamani wa Yanga na Simba, Kiggi Makasi
Kwa Ushindi huo, Mtibwa Sugar sasa imefikisha pointi 9 sawa na Simba, Yanga na Azam FC ambazo zote zimeshinda mechi zote tatu za mwanzo za ligi.
Gud
ReplyDelete