September 20, 2015


Aina mpya ya ushangiliaji ambayo imechukua umaarufu hivi punde ni ile ya kuonyesha saa mkononi.


Kiiza amekuwa akifanya hivyo baada ya kufunga mabao matatu, hat trick dhidi ya Kagera Sugar iliyolala 3-0 kwa Simba katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.

Kutokana na Kiiza kushangilia hivyo mara tatu, shangilia hiyo tayari imechukua umaarufu mkubwa miongoni mwa mashabiki wa Simba waliokuwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mashabiki baadhi mitandaoni na pale uwanjani wamenza kuonyesha kuhusiana na aina hiyo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic