MATOKEO YA CAPITAL ONE LEO:
Arsenal imeishinda Tottenham kwa
mabao 2-1, huku kiungo Matheu Flamin akiwa shujaa kwa kutupia zote wavuni.
Manchester United nao wameshinda
kwa mabao 3-0 wakikipiga dhidi ya Ipswich Town.
MATOKEO MENGINE:
Crystal
Palace 4-1 Charlton Athletic
Newcastle
United 0-1 Sheffield Wednesday
MK Dons
0-6 Southampton
Norwich
3-0 West Brom
NORWICH
CITY 3-0 West Brom
Liverpool
1-1 Carlisle United
0 COMMENTS:
Post a Comment