Kipa David de
Gea ameingia makubaliano na kusaini mkataba mpya na Manchester Uunited.
De Gea ameingia
mkataba wa miaka minne kuichezea Manchester United.
Katika mkataba
huo mpya, De Gea atakuwa akilamba kitita cha pauni 200,000 kwa wiki, fedha
zinazomfanya kuwa mmoja wa wachezaji wanaolipwa vizuri zaidi.









0 COMMENTS:
Post a Comment