Ulifikiri Angel Di Maria ‘kwishney’, basi
ulijidanganya baada ya kuisaidia timu yake ya PSG kuibuka na ushindi wa mabao
2-0 dhidi ya Malmo ya Sweden katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Di Maria alifunga bao la kwanza katika dakika ya 4
kabla yaEdnson Cavani kufunga la pili katika dakika ya 61.
PSG ikiwa nyumbani jijini Paris, Ufaransa ilipoteza
nafasi nyingi dhidi ya timu hiyo ya Malmo iliyomkuza Zlatan Ibrahimovich kisoka
kabla ya kuhamia Ajax.
0 COMMENTS:
Post a Comment