HAYA NDIYO MANENO YA MALINZI KUHUSIANA NA ULE UCHAFU WA JUMA NYOSSO HUU NI UJUMBE WA MALINZI KUPITIA AKAUNTI YAKE YA TWITTER KUHUSIANA NA SUALA LA JUMA NYOSSO KUMSHIKA MAKALIO NAHODHA WA ZAM FC, JOHN BOCCO.
Hatua kali au hatua za kisheria??? Tusitumie jazba jamaniii. Sheria si zipo. sasa hizo sheria kali ndio zipi??
ReplyDelete