September 30, 2015

Bayern Munich imeendelea kutoa vipigo safari hii kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuichapa Dinamo Zagreb kwa mabao 5-0.


Bayen ambayo ilikuwa nyumbani, mshambuliaji wake Roberto Lewandowski alifunga mabao matatu, hat trick katika ushindi huo wa bao tano.

Maana yake, katika mechi tatu, Lewandowski ameweza kufunga mabao 10 katika mechi za michuano mbalimbali na kuweka rekodi nyingine ya upachikaji mabao.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic