September 26, 2015

MAGURI AKICHUKUA MAELEZO KUTOKA KWA KOCHA WAKE MFARANSA, PATRICK LIEWIG

Mshambuliaji Elius Maguri ambaye aliachwa na Simba katika hatua za mwisho kabisa akionekana hana uwezo, ameifungia timu yake ya Stand United bao.


Maguri amefunga bao hilo katika mechi dhidi ya JKT iliyokuwa nyumbani hivyo kuifanya iibuke na ushindi wa bao 1-0.

Pamoja na kuisadia timu yake kushinda mechi hiyo muhimu ya ugenini, lakini amefanikiwa kufunga bao lake la tatu katika mechi nne alizoichezea Stand United ya Shinyanga.,

Matokeo ya mechi nyingine matokeo yalikuwa hivi yafuatavyo...

PRISONS 1-0 MGAMBO
COASTAL 0-0 MWADUI

JKT 0-1 STAND
KAGERA 0-0 TOTO
MTIBWA 1-0 MAJIMAJI

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic