Wayne Rooney amebaki England wakati Man United ikisifiri
kwenda Uholanzi.
Man United ina kibarua cha Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi
ya PSV Eindhoven.
Imeelezwa juhudi zinafanyika ili Rooney acheze mechi ya
Jumamosi dhidi ya Southampton.
Rooney yuko chini ya kitengo cha tiba cha Man United
kinachofanya juhudi hizo.
0 COMMENTS:
Post a Comment