September 27, 2020

18 COMMENTS:

  1. Bado sijaelewa malengo ya huyu coach, Mbona Faridi Mussa ampangi hata sub, wakati mchezaji mzuri sana au majeruhi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hayupo kikosini anaumwa na amebaki Dar

      Delete
    2. Yeah, Naskia Farid hayuko vizuri kiafya, ni majeruhi

      Delete
  2. Kocha anafeli Sana kumuanzisha niyonzima bench

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mie pia nlitamani sana Niyo aanze. Ni mpigaji mzuri wa pasi za mwisho. Mechi ya Bukoba washambuliaji walikuwa wanakosa kabisa mipira na kulazimika kuifuata nyuma. Lakini alipoingia Niyo, hali ilibadilika. Hebu tusubiri tuone itakavyokuwa

      Delete
  3. Nendeni mkasomee ukocha nanyie mpange mnao wapenda jinga xana

    ReplyDelete
  4. Jamani tumuache kocha afanye kazi yake. Tokea lini mashabiki tukawa tunawajua wachezaji na uwezo wao uwanjani kumshinda kocha anayekuwa nao muda mwingi mazoezini na kambini? Ni nashabiki wa Tanzania pekee ndio wanaingilia machaguzi ya kikosi, sehem nyingine duniani hakuna upuuzi kama huu.

    ReplyDelete
  5. Kikosi kizuri tunawatakia kila la kheri, wacheze mpira wao ili washinde kwa magori ya kutosha.

    ReplyDelete
  6. Yani carinho anamuweka benchi niyo......... hapana bhana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kila mchezaji ananafasi yake. Umeona amefanya nini kwenye timu leo Calinyo? Msilaumu kila kitu. Aminini makocha na mipango yao kwenye kila mechi

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic