Kiungo
wa Azam FC, Mudathir Yahaya hataitumikia timu yake wakati ikiivaa Ndanda.
Azam
FC itakuwa ikipambana na Ndanda FC kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona,
Alhamisi.
Lakini
Mudathir ambaye pia ni kiungo wa Taifa Stars analazimika kubaki nje kutokana na kuwa majeruhi.
Msemaji
wa Azam FC, Jaffar Iddi amethibitisha hilo la kuwa majeruhi.
0 COMMENTS:
Post a Comment