October 5, 2015

Baada ya kocha Brendan Rodgers kutimuliwa kazi kwa simu, sasa Jurgen Klopp anajiandaa kuchukua kazi hiyo.


Klopp anajiandaa kutua Anfield mara moja kuanza kazi.


Rodgers ametimuliwa bnaada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya watani wao wa jadi Everton, jana.

Hata hivyo, bado inaonekana kutakuwa na ushindani kwa kuwa Carlo Ancelotti anayeonekana kuwa ni chaguo la pili katika hilo, tayari amesogea baada ya kutua jijini London.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic