October 5, 2015




 Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic amepiga bao mbili na kuisaidia PSG kuitwanga Marseille kwa mabao 2-1.

Zlatan amefunga mabao hayo huku mwanamuziki nyota wa Marekani, Rihanna akiwa jukwaani anashuhudia.


Mkali huyo kutoka Sweden ameweka rekodi ya ufungaji mabao baada ya kufunga hayo mawili na sasa ndiye mfungaji alitepachika mabao mengi zaidi kwa PSG baada ya kufikisha mabao 110 na kumpita Pedro Pauleta aliyekuwa akiishikilia.

PSG (4-4-2): Trapp; Aurier (Marquinhos 87), Silva, Luiz, Maxwell; Veratti, Motta, Matuidi; Di Maria (Lavezzi 86), Ibrahimovic (Pastore 71), Cavani
Subs not used: Sirigu, Kurzawa, Lucas, Rabiot
Booked: Aurier, Veratti

Scorers: Ibrahimovic 41 (pen), 44 (pen) 
Marseille (4-4-2): Mandanda; Manquillo, Nkoulou, Rolando, De Ceglie (Dja Djedje 72); Silva (Sarr 85), Diarra; Alessandrini, Cabella, Barrada (Ocampos 71); Batshuayi
Subs not used: Pele, Rekik, Romao, Isla
Booked: Barrada, Diarra, Mandanda 
Scorers: Batshuayi 30 






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic