October 27, 2015


Wakati timu ya wakubwa ya Chelsea inavurunda, mambo yameanza kwenda vibaya kwa kikosi chao cha vijana chini ya miaka 21.


Kikosi hicho cha Chelsea U21, kimepokea kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa vijana wa Man City wanaofunindishwa na kiungo wa zamani wa Arsenal, Patrick Vieira.

Kutokana na kipigo hicho Chelsea imeporomoka kutoka kafasi ya tano hadi ya nane katika msimamo waligi ya vijana chini ya miaka 21.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic