October 27, 2015

  
Mashabiki wengi wa ngumi wamekuwa hawaamini kama bondia Floyd Mayweather amestaafu kweli baada ya kucheza mechi 49.


Wengi wanaamini atacheza pambano la 50 dhidi ya Mwingereza Amir Khan. Lakini meneja wake amekata mzidi wa fitna na kusema Mayweather amestaafu na hakuna mjadala tena katika hilo.
 

Lakini wakati Leonarard Ellerbe akitangaza hivyo, Mamyweather ameonyesha jeuri ya fedha baada ya kunua gari la bei kubwa zaidi yam engine yote duniani baada ya kytoa dola milioni 3.5 kunua gari aina ya Buggati.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic