October 15, 2015

Kiungo wa pembeni wa Crystal Palace, Wilfried Zaha amekubali kutoa pauni milioni 2.5 na kununua jumba la kisasa kabisa.


Jumba hilo lilikuwa linamilikiwa na mmlikiki wa zamani wa Crystal Palace, Ron Noades ambaye aliafariki mwaka 2013 kutokana na ugonjwa wa kansa.
Zaha, ambaye wakati akiwa Man United alikuwa akipokea mshahara wa pauni 35,000 kwa wiki anatarajia kuingia ndani ya jumba hilo siku chache zijazo.
 
Licha ya kuwa na eneo kubwa sana mbele na nyuma, jumba hilo lina  vyumba saba vya kulala, vyoo na mabafu sita, jumba la filamu na mwonekano wake ni wa kuvutia sana hasa ndani.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic