October 20, 2015


Angalau Kocha Jose Mourinho anaweza kujisifia kwamba Chelsea imepata sare ya bila mabao dhidi ya Dynamo Kiev ikiwa ugenini.


Lakini analazimika kufanya kazi ya ziada kujikwamua kutoka katika nafasi ya nne kwenye kundi lao katika michuano hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Dynamo Kiev: Shovkovskiy, Danilo Silva, Khacheridi, Dragovic, Vida, Sydorchuk, Rybalka, Yarmolenko, Buyalsky (Garmash), Gonzalez, Kravets (Junior Moraes)
Subs: Rybka, Veloso, Antunes, Petrovic, Gusev.
Booked: Buyalsky 

Chelsea: Begovic, Zouma, Cahill, Terry, Azpilicueta, Matic, Fabregas (Oscar), Ramires, Hazard, Willian, Costa. 
Subs: Blackman, Baba, Falcao, Mikel, Traore, Kenedy
Booked: Zouma.
Referee: Damir Skomina





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic