October 8, 2015


Kocha Jurgen Klopp ametua Merseyside tayari kujiunga na Liverpool kwa mkataba wa miaka mitatu ambao thamani yake ni pauni milioni 4.


Kocha huyo wa zamani wa Borussia Sortmund atasaini mkataba kujiunga na Liverpool kuchukua nafasi ya Brendan Rodgers aliyetimuliwa.

Liverpool ilikodi ndege kutoka Ujerumani na kocha huyo anatarajia kutambulishwa kesho saa 4 asubuhi rasmi na mara moja ataanza kazi.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic