October 17, 2015


Cristiano Ronaldo ameonyesha yeye ni tishio baada ya kuipita rekodi ya gwiji wa Real Madrid, Raul Gonzalez baada ya kufunga mabao mawili wakati Real Madrid ikiitwanga Levante kwa mabao 3-0 katika mechi ya La Liga, leo.

Mabao hayo mawili yamemfanya Ronaldo kufikisha mabao 324 katika mechi 310 alizocheza.

Hivyo kufunika rekodi ya Raul ambaye alikuwa amefunga mabao 323 katika mechi 741.

Utaona kuna tofauti ya mechi 431, tena Ronaldo akiwa na mabao mengi zaidi.

Hii inaonyesha kiasi gani mshambuliaji huyo Mreno alivyo na uwezo mkubwa na kipaji cha aina yake katika ufungaji mabao.


Real Madrid: Navas 8.5, Danilo 7, Nacho 6.5, Varane 7, Marcelo 9, Casemiro 8, Kroos 7, Kovacic 6.5 (Llorente 76, 6), Isco 6.5 (Jese 68, 8), Ronaldo 8, Bale 6 (Vazquez 46, 7.5)
Subs not used: Casilla, Cheryshev, Mayoral, Lienhart
Goals: Marcelo 27, Cristiano 30, Jese 81
Booked: Kovacic
Levante: Ruben 6, Morales 3.5, Simao 4, Feddal 5.5, Juanfran 6, Tono 5, Casadesus 6, Mari 6 (Lerma 61, 5.5), Camarasa 5.5, Roger 5.5 (Ghilas 53, 6), Deyverson 4 (Ruben Garcia 75, 5)
Subs not used: Navarro, Karabelas, Marino, Lopez Munoz 
Booked: Feddal, Deyverson, Mari, Morales. 










0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic