October 30, 2015


Kiungo Mzimbabwe wa Simba, Justice Majabvi, ametamka kuwa hajui hatima yake ndani ya timu hiyo licha ya kwamba mkataba wake umebakiza miezi miwili tu.


Majabvi ambaye amekuwa akicheza kwenye kikosi cha kwanza, amesema alisaini mkataba wa miezi sita ambao unafikia tamati Desemba, mwaka huu.

Majabvi amesema: “Mkataba wangu unaelekea mwisho, nimebakiza miezi miwili lakini sijui kinachoendelea kwa kuwa viongozi wapo kimya, hawajaniambia kama nitaendelea kuwepo hapa au nitaondoka.”


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic