October 27, 2015



 Simba imeendelea na mazoezi kujiwinda na mechi yake ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union, kesho.


Simba imefanya mazoezi yake kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

Kocha Dylan Kerr, ndiye aliongoza mazoezi hay oleo na wachezaji wake walikimbia mbio fupi na za haraka lakini baadaye wakachezaji mechi ambayo ilikuwa na ushindani hasa.
CHEKI PICHA ZAIDI...












0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic